Quantcast
Channel: YALIYO JIRI MKOANI RUVUMA NA MKONGWE WA HABARI ADAM NINDI
Browsing all 441 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFANYAKAZI WA HOSPITALI YA MKOA WA RUVUMA BENEDICT MLAPONI APOTEA YAPATA...

 Nimtoto wa Benedict Mlaponi ambaye amebaki kama yatima Emanuel Mlaponi ambaye yuko kidato cha pili hana Mbele wala Nyuma baba yake alitoweka mwaka 2005 .Mirasi ili funguliwa na serekari kuridhia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ATEUA WAKUU WA MIKOA

                                                                                                          TAATIFA HIZI NI KWA HISANI YA TOVUTI YA IKULUOFISI YA RAIS,IKULU,1 BARABARA YA BARACK...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAKIJIJI WAWEKA MSIMAMO KUHUSU ELIMU MAPOSENI

Wazazi wa vijiji vya Maposeni songea vijijini  wameiomba  Serikali kuingilia kati mtindo wa  vijijana  wanaotelekeza watoto  baada ya kuwazaa na  kuwaachia Wazee ambao umri wao hawawezi kuwalea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTAFITI WA KILIMO KUTOKA KITUO CHA UTAFITI MIKOCHENI DAR-ES-SALAAM...

Mtafiti wa Kilimo Kutoka Mikocheni Dr. Juma Kayeke amesema ili kupambana na Ugonjwa wa wa kubungua Mahindi yakiwa shambani hayajavunwa ni vizuri mkulima akatumia njia ya kupanda mahindi na katikati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LISILO LA KISEREKARI LA PAD LA TOA VIFAA TIBA KWA WAZEE WA MANSPAA...

shirika lisilo la kiserekari la PAD likitoa vifaa tiba katika Zahanati za Manspaa ya Songea Dr Maida akitoa vifaa hivyo kwa niaba ya Mkurugenzi wa PAD Isaka Msigwamoja ya vifaa vilivyo tolewa ni pamoja...

View Article


ANUSURIKA KUPOTEZA SEHEMU NYETI ZA SIRI SONGEA

Kamanda wa Police mkoa wa Ruvuma Zuberi Mwombezi amekemea Vikali vitendo vya Unyanyasaji wa kijinsia baada ya Mfanyakazi mmoja wa Shirika la TANESCO Mkoani Ruvuma kukatwa sehemu za siri na  mwanamke wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TATHMINI YA MSAADA WA KISHERIA LUDEWA MKOANI NJOMBE

Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mkoa wa Njombe Anatory Choya amewataka watu wanaotoa huduma ya Msaada wa kisheria kutumia taaluma yao kwa kutoonyesha mgogoro katika Jamii bali wajikite katika kutatua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TATHMINI YA MRADI WA UTOAJI ELIMU YA MSAADA WA KISHERIA WILAYA YA UWANGING'OMBE

Mratibu wa Mradi wa msaada wa Kisheria Wilaya za ludewa, Uwanging`ombe na Makete Mkoani Njombe Recho Stiven amesema changamoto wanazokutana nazo wasaidizi wa kisheria ni pamoja na umbali wa maeneo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA JAMUHURI YA MUNGANO WA TANZANIA MH.JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA ZIAZA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Rwanda Paul Kagame wakiwasha mwenge wa matumaini kuashiria kutotokea tena kwa mauaji ya Kimbari nchini Rwanda.  Rais wa...

View Article


MKURUGENZI WA PADI ISSACA MSIGWA ATAKA MAHUSIANO MAZURI NA SEREKARI

Mkurugenzi wa shilika lisilo la kiserekari la PADI Shirika linalo hudumia wazee Issaca Msigwa amewaasa wanao toa Elimu ya kisheria kuwa na mahusiano  mazuri na viongozi wa SerekariMkurugenzi wa PADI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTENDAJI WA KIKOSI CHA KUZUIA RUSHWA MKOANI RUVUMA KWA KIPINDI CHA MIEZI MITATU

Kamanda wa kikosi cha kuzuia Rushwa mkoa wa Ruvuma Yunisitina Chagala amesema jumula ya tarifa 82 zimewakilishwa katika ofisi yake zikiwa na malalamiko mbalimbali yakiwemo migogoro ya Aridhi,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITENGO CHA HIFADHI YA CHAKULA (NFRA) SONGEA KIMELIINGIZIA TAIFA KIASI CHA...

Hifadhi ya Chakula Kanda ya Songea imefanikiwa kuuza Tani 103,000 za Mahindi katika Mikoa ya Tanzania iliyokuwa na Uhaba wa Chakula na kuweza kuliingizia Taifa kiasi cha Shilingi 39,100,000,000 kwa...

View Article

AMWOMBA RAIS WA JAMUHURI YA MUNGANO WA TANZANIA DR JOHN POMBE MAGUFULI...

Mama Mjane aliyeachwa na mmewe miaka 10 iliyopita, sasa amuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr john Pombe Magufuli amsaidie kupata Mirathi ya Mumewe ili aweze kusomesha Watoto wake.Mama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU 144 WAKOSA MAHALI PAKUISHI BAADA YA NYUMBA ZAO KUANGUKA NA MVUA KUNYESHA...

Kaya 144 zimekosa mahali pakuishi katika Kijiji  cha Ngadinda Kata ya Gumbilo wilaya ya Songea vijijini baada ya nyumba 51 kubomoka na nyumba 91 kutetereka baada ya mvua kali kunyesha mfululizo  muda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKULIMA HALMASHAURI YA MADABA WAMETAKIWA KUJIUNGA KATIKA VIKUNDI ILI WAWEZE...

Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya Madaba Prosper Luambano amewataka wakulima wa Halmashauri ya Madaba kujiunga kwenye vikundi ili waweze kukopa nyenzo za kulimia ikiwemo Matrekta.Kaimu Mkurugenzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA SONGEA WATOA VITANDA 20 NA MAGODORO 20 KWENYE...

Mpangala ameyasema hayo wakati akikabidhi Magodoro 20 na vitanda 20 vikiwa na thamani ya Shilingi Milioni 11,760,000 kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh. Said Thabit Mwambungu. Regina Hyera na Mkuu wa Mkoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADIWANI WA MANSPAA YA SONGEA WATAKA UFAFANUNUZI KUHUSU FEDHA ZA USHURU...

Swala moja wapo la msingi katika maisha ni pamoja na kupumuzika baada ya kufanya kazi nzito hapo meya mstahafu Chares Mhagama akitafakali mambo mbali mbali ya maendeleoBaraza la madiwani lime kuwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT ASHA MIGILO AWA BALOZI NCHINI UINGEREZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Asha-Rose Migiro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza. Dkt. Asha-Rose Migiro anakwenda kuchukua nafasi iliyoachwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILIMO CHA NYANYA KINA WEZA KUMUTOA MTU KIMAISHA

 Kilimo cha Nyanya hudharaulika lakini wenyeji wa m ina tegemea utulivu wa ubongo wako ukoje kuhusu mimeakoa wa Iringa na Njombe wao ni watalamu wa kujua faida ya Nyanya  .Garama ya ulimaji na matunzo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYA BIASHARA WACHANGIA MBAO 350 ZIKIWA NA THAMANI YA SHILINGI MILIONI NNE

WAFANYABIASHARA 4 WA BIASHARA YA MBAO MKOANI RUVUMA WAUNGA MKONO SERIKALI KWA KUICHANGIA MBAO 350 ZENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 4 KWA AJILI YA UTENGENEZAJI WA MADAWATIMkuu wa wilaya ya Songea...

View Article
Browsing all 441 articles
Browse latest View live